Ufunuo wa Yohana 3:20 " Tazama nabisha hodi..."
Yesu anabisha hodi kwako leo, Mpe Yesu maisha yako leo atakuokoa.
YESU ANAKUPENDA AMUA LEO
Alhamisi, 31 Desemba 2015
MUNGU IBARIKI TANZANIA 2016 UWE MWAKA WA BARAKA NA MAFANIKIO
Mungu mbariki Rais wetu Dr Magufuli, Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia, Waziri mkuu Mheshimiwa Ndg Majaliwa, Baraza la mawaziri, Bunge la Tanzania, Wakuu wa mikoa, Wilaya nk
Mungu Bariki wananchi wote wa Tanzania bila kujali dini zao
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni