Jumatatu, 22 Agosti 2016

MKUTANO MBULU OCT 2016 NA CPCT & KINDNESS MINISTRY

MKUTANO MKUBWA WA INJILI MBULU
NA HUDUMA YA KINDNESS & UMOJA WA CPCT MBULU

Huduma ya KINDNESS ikishirikiana na makanisa ya Kipentekoste Mbulu CPCT inaandaa mkutano mkubwa wa injili Mbulu tarehe 02/10/2016 hadi tarehe 08/10/2016.

Kwa mjibu wa mkutano/ kikao cha wachungaji wa makanisa ya CPCT Mbulu na Kiongozi wa huduma ya Kindness na Mwinjilisti Ndg Msengi toka Singida, kilichofanyika tarehe 11/7/2016 na tarehe 16/08/2016 chini ya Mwenyekiti wa umoja huo wa CPCT Mbulu Mch Isaya na Mwangalizi wa makanisa ya TAG Mbulu, pamoja na wachungaji wa umoja huo wa CPCT Mbulu toka makanisa ya TAG, CALVARY, VICTORIUS, GRC, FPCT, EAGT na mengineyo.

Kutakuwa na Mkutano mkubwa sana wa Mavuno katika mji wa Mbulu, pamoja na sinema pea tatu ambazo zitaonyeshwa kila siku katika maeneo matatu tofauti.

Kabla ya mkutano wa injili, utatanguliwa na semina elekezi ambayo itasaidia sana kwa ushuhudiaji wa Neno la Mungu nyumba hadi nyumba ambapo wainjisti zaidi ya 30 wanategemewa kuwasili Mbulu kwa huduma hiyo ya uinjilisti wa nyumba hadi nyumba katika mji wa Mbulu na viunga vyake kutokana na uhitaji wa makqanisa ya CPCT Mbulu. Kila atakayefundishwa semina elekezi atatoa sh 2000 na watoto sh 1000.
Mwisho wa mkutano kutakuwa na ubatizo wa maji mengi kwa wote wayakaompa Yesu maisha yao.
Mungu amesema na watumishi wake wa huduma ya Kindness na hawawezi kutulia kwa ajili yako. Yeremia 47:7b. Unasubiri nini sasa? Usikose mkutano huo wa Baraka.

Umoja huo wa CPCT Tanzania kwa sasa upo Vizuri. Hatua inayofuatia ni kuimarisha umoja huu wa makanisa ya CPCT katika ngazi ya Mikoa na Wilaya hadi vijijni.

Katiba ya umoja huu ambayo kwa sasa ndiyo inasubiriwa, itasaidia sana kuimarisha umoja wetu wa CPCT Taifa, Mikoni hadi Wilayani.

Jumatano, 10 Agosti 2016

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA MAKANISA NA MSIKITI 07 AGOST 2016

  1. ... 2016 ametembelea Msikiti na Makanisa yaliyopo Chato Mjini Mkoani ... taifa letu ni la umoja, ......
  2. MCHUNGAJI SICHINGA AAGWA NA WATU KUTOKA DINI...

    amaninafuraha.blogspot.com/2015/07/mchungaji-sichinga...
    ... Bima Mountains Movers na pia ni katibu wa umoja wa makanisa ya kipentekoste (CPCT) ... wa umoja wa ...
  3. new cpct mbulu constitution - baraza la makanisa ya ... ... 2016 - RATIBA ZA IBADA USHARIKA WA KKKT...

Jumamosi, 23 Januari 2016

Blogs za wanaharakati 2016

TIP (TANZANIA INTERFAITH PARTERNERSHIP - MBULU)

Blog mpya ya watoa huduma Mbulu HBC (Community Home Based Care Provider) Dongobesh, Mbulu Mjini, Daudi na Haydom Kwa Mawasiliano piga 0787 964905

DAUDI FAMILY CHURCH OF GOD MBULU

 SARAH DAUDI QAMARA (MBULU)

MAISHA YA MABINTI WA MBULU NA MILA YA IRAQW na Bibiana ...

bibiana2016.blogspot.com/.../maisha-ya-mabinti-wa-mbulu-na-mil...Translate this page
Apr 7, 2016 - Nawakaribisha mabinti wote wa Mbulu kwa ajili ya kutoa maoni yenu na kero zinazowakumba katika Wilaya yetu ya Mbulu Baadhi ya mila ... bibiana2016.blogspot.com

Je Wairaqw ni Wambulu? Fahamu Historia yao na asili ya jina Mbulu ...

ohayoda.blogspot.com/.../je-wairaqw-ni-wambulu-fahamu-historia....Translate this page
May 29, 2012 - Kaka samahani je wewe ndiye coordinator wa Ohayoda blog? Kama ndivyo hebu tafadhali ufanye utafiti wa kabila la kiirak *IRAQW* na je hili ...