Ijumaa, 2 Oktoba 2015

Askofu Mkuu David Batenzi wa Kanisa la F.P.C.T kusimamia uchaguzi EAGT Sept 23 2015


UCHAGUZI MKUU KANISA LA EAGT TANZANIA TANZANIA ULIOFANYIKIA DODOMA TAREHE 23/09/2015 KWA AJILI YA KUCHAGUA VIONGOZI WA KITAIFA YAANI ASKOFU MKUU, MAKAMU ASKOFU MKUU, KATIBU MKUU NA MTUNZA FEDHA MKUU

1. Askofu Mkuu mteule wa sasa kanisa la EAGT  Tanzania na na pia ni mchungaji wa kanisa la

     EAGT Mlimwa West Dodoma Dr. Brown Mwakipesile



2. Makamu Askofu Mkuu mteule wa sasa wa kanisa  EAGT Tanzania ni John Mahene

   (Anatokea Mwanza)



3. Katibu Mkuu mteule wa sasa wa kanisa EAGT Tanzania ni Dr. Leonard Mwinzarubi

     Na Mchg Kanisa la EAGT Sinoni Arusha


4. Mtunza fedha mkuu wa EAGT Taifa kwa sasa ni Mchg Rinoradi Zawadi Mgonja toka kanda ya Mashariki 

6. Mgeni rasmi aliyesimamia uchaguzi Mkuu alikuwa Askofu Mkuu David Batenzi wa Kanisa la  F.P.C.T  -  Tanzania.


Mchungaji Dr. Brown Mwakipesile achaguliwa kuwa Askofu ...

Katika uchaguzi huo ambao umefanyika kitaifa mkoani Dodoma siku ya tarehe 23September 2015 na kuwapata viongozi wa Kitaifa wa kanisa la EAGT. Askofu Mkuu mpya wa kanisa la EAGT Dr. Brown Mwakipesile wa ...

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni